Cart (0)
Close
Ni miji ambayo ina umuhimu wa kidini au tamaduni katika Imani ya kikristo, mfano, Yerusalem, Nazareth na Bethlehemu. Miji hii ndio sehemu ambapo zawadi zetu zinapatikana.
Yerusalemu:
Muda wowote unafaa kutoa ama kupokea zawadi za kiimani. Lakini kuna siku muhimu katika maisha ya watu tuwapendao ambazo ni muhimu sana kutoa zawadi kama hizi zetu.
Mfano katika matukio ya ubatizo, kipaimara, komunio ya kwanza, ndoa, ubarikio, kumbukizi ya kuzaliwa na matukio mengine mengi yanayogusa maisha ya watu tuwapendao. Lengo letu kuwafurahisha tuwapendao huku tukiwakuza kiimani.