Hizi ni safari za kutembelea miji takatifu na maeneo mbalimbali ya historia ya kidini ikiwemo sehemu ambazo Yesu Kristo alifanya kazi yake ya utumishi.
Safari hizi zinafaa kwa familia, kundi la marafiki, au mtu yeyote atakayehitaji safari hizi. Wasafiri watapata
kiongozi/viongozi (tour guide) wenye uzoefu watakaokua nao
mwanzo mpaka mwisho
kufanya safari iwe nzuri na
yenye kumbukumbu na
mafunzo mengi na mazuri.
Picha Na Matukio
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna