Zawadi Bora Za kidini
chaguo bora na la kwanza kwa ambao wanataka vitu halisi kutoka sehemu za chimbuko la imani (miji takatifu
Duka linalouza zawadi mbalimbali za kiimani kutoka miji takatifu ya Nazareti, Bethlehem, Jerusalem na Roma, zinazofaa kwa sherehe za kidini, matukio mbalimbali ya ki-imani na matumizi binafsi.
Jerusalem Holy Gifts ni duka linalouza zawadi mbalimbali za kiimani kutoka miji mitakatifu
Ni miji ambayo ina umuhimu wa kidini au tamaduni katika Imani ya kikristo, mfano, Yerusalem, Nazareth na Bethlehemu. Miji hii ndio sehemu ambapo zawadi zetu zinapatikana.Bidhaa zetu ni pamoja na
chaguo bora na la kwanza kwa ambao wanataka vitu halisi kutoka sehemu za chimbuko la imani (miji takatifu
Ni sehemu pekee unaweza kupata zawadi/ vitu halisi kutoka mijimitakatifu, ambayo ni chimbuko la imani ya Kikristo, mbali na kua vitu/zawadi ambazo ni nzuri sana kwa muonekano, Imara sana na pia ni zawadi zenye kugusa fadhila za kiMungu ambazo ni Imani, Matumaini na Upendo.
Our Holy Land New Arrivals Collections
Hizi ni safari za kutembelea miji takatifu na maeneo mbalimbali ya historia ya kidini ikiwemo sehemu ambazo Yesu Kristo alifanya kazi yake ya utumishi. Safari hizi zinafaa kwa familia, kundi la marafiki, au mtu yeyote atakayehitaji safari hizi. Wasafiri watapata kiongozi/viongozi (tour guide) wenye uzoefu watakaokua nao mwanzo mpaka mwisho
kufanya safari iwe nzuri na yenye kumbukumbu na mafunzo mengi na mazuri.
Our clients are happy to share their experience working with us. If you want to hear more, let us know and we will arrange for a client reference call.
Habari Mbalimbali na nakara zetu kutoka Jerusalem holy gifts